Tunatoa huduma gani?

wavu digital inatoa huduma mbalimbali za kimtandao ambazo zinamsaidia mtu wa kawaida na wafanyabiashara kunufaika na intaneti kupitia huduma zetu za utengenezaji wa tovuti,apps na blogs pia tunatoa huduma muhimu kwa wateja wetu mfano kuwasidia kupata watembeleaji(wateja) kupitia  mitandao ya kijamii mfano facebook,youtube,twitter na instagram.

matangazo ya intaneti

huduma hii inamuwezesha mmiliki wa biashara ama tovuti,blogs na app kupata wateja kupitia mitandao ya kijamii kwa mfumo wa matangazo ya bei rahisi pia kupitia google.

utengenezaji wa tovuti,blogs na apps

tunatengeneza tovuti za namna mbalimbali pamoja na apps kwaajili ya biashara au mradi wako.

unufaishaji maudhui

huduma hii ni kwaajili ya wamiliki wa tovuti,apps na blogs ambapo inawasidia tovuti,apps na blogs zao kuingiza mapato kupitia huduma za online monetization mfano google adsense,adsterra na sponsorships.

tunakuza biashara yako kupitia huduma za matangazo ya intaneti kwenye mitandao kama vile facebook,instagram,youtube,twitter na linkedin.


tunabuni na kutengeneza tovuti za aina mbalimbali.pia tunatoa huduma bora ya hosting na web solutions.


tunatengeneza apps na programs za vifaa vyote kama vile simu na kompyuta


huduma hii inakuwezesha mmiliki wa biashara kupokea malipo online pia kulipia huduma mbalimbali zitolewazo online.malipo haya ni yale yafanywayo kupitia credit cards,paypal na mobile money.


SEO ni huduma inayokuwezesha kupata watembeleaji/wateja wengi kupitia search engines(vituo vya utafutaji) kama vile google,yahoo na bing.


wavu digital is a business agency dealing with online business solutions such as digital marketing, web and app development, search engine optimization and online business payments solutions.