Sisi ni nani?

wavu digital is a business agency dealing with online business solutions such as digital marketing,web and app development,search engine optimazation and online business payments solutions.


tunakuza biashara yako kupitia huduma za matangazo ya intaneti kwenye mitandao kama vile facebook,instagram,youtube,twitter na linkedin.


tunabuni na kutengeneza tovuti za aina mbalimbali.pia tunatoa huduma bora ya hosting na web solutions.


tunatengeneza apps na programs za vifaa vyote kama vile simu na kompyuta


huduma hii inakuwezesha mmiliki wa biashara kupokea malipo online pia kulipia huduma mbalimbali zitolewazo online.malipo haya ni yale yafanywayo kupitia credit cards,paypal na mobile money.


SEO ni huduma inayokuwezesha kupata watembeleaji/wateja wengi kupitia search engines(vituo vya utafutaji) kama vile google,yahoo na bing.

Pata maelezo zaidi

piga namba ya simu hapo chini upate maelezo zaidi

kwanini watu wanaipenda wavu digital?

huduma zetu ni nafuu

 mfano huduma zetu nyingi zinaanza bureee!

         tunamaliza project haraka

         tunafanya kazi kwa ufasaha na ubunifu

        tuko pamoja na mteja bega kwa bega